mtotoMtoto ni: Kiumbe mchanga anayezaliwa na mnyama au kiumbe yeyote mwenye uhai. Mtu ambaye hajatimiza umri wa utu uzima. Ukubwa wa mtoto. Kupata ukubwa wa mtotoKatika kupata jinsia yoyote ya mtoto kuna vitu viwili katika sayansi, Kuna swala la vinasaba au Chromosomes pamoja na uhai wa mbegu ya kiume pamoja na yai la mwanamke.